“UNESCO haitupatii fedha lakini ni sababu ya sisi kupata fedha, Mji Mkongwe ni miongoni mwa vivutio vya utalii duniani vilivyopo kwenye tovuti ya UNESCO, hivyo wanabeba gharama zote za kuutangaza Mji Mkongwe kwenye majukwaa makubwa duniani”- Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe, Ali Said Bakar. #AsubuhiNjema #ZBCUpdate